FACTS: panga pangua ni wazi JPM kashindwa nchi imemuelemea na mambo hayaendi. Zile sifa sio za kweli uchumi unayumba

kosa lao wamekuwa kimya muda wote swala hili limeshughulikiwa na Ikulu, na mwaijage kosa lake ni kwa miaka 3 ameshindwa kushawishi kujenga hata kiwanda kimoja cha kubanguankorosho, ila nadhani kwenye hili Makatibu wa kuu unawaachaje
pesa za mfuko wa korosho zitumiwe kwa amri kutoka juu,bilioni 200!!,ambazo ndio zimepelekea hali hii hapo uje umlaumu waziri tena kwa awamu hii ambapo kila kitu ni KONKI MWENYEWE!!waziri utamlaumu tu kama sera ya nchi au mazingira sio mazuri kwa wawekezaji hata afanye nini kuwapata ni ngumu!!!kwani hawawaoni wenzao wanavyopata tabu?
 
Ni awamu iongozayo paaanga pangua ishu zingine ziko nje ya hata uwezo wa kocha mwenyewe mfano hii koroshow ni ishu ya kidunia sio siasa au vita vya kiuchumi,mfanyabiashara utaka faida sio hasara,
 
Kwa ukweli.na uwazi magufuli kachemka ila anaona aibu kusema ukweli.

Hii nchi kwa upnde wa uchumi ni mbaya na tumbua tumbua hii ni dalili tosha mambo hayaendi.

Kama Mwijage na viwnda vyake 3600 inauwaje natumbuliwa? Ajaye naye ataleta viwnda hivyo?

Hakuanzia hapa tumbua tumbua yaani miaka 3 ni panga pangua atamaliza mitano mambo ni hayajhaya ni dalili ya wazi kuwa nchi imemshinda na uchumi unakufa
Bila Katiba mpya, Tz tutapata taabu sana nawaambia! Rais hapaswi kuwa kila kitu; lazima atavembewa madaraka na kuchafua hali ya hewa!!
 
Kwahiyo kutumbua na kuteua ndio dalili za uchumi kuyumba? Aisee, Tanzania tuna safari ndefu sana, na unakuta watu kama wewe Tanzania mko asilimia 85
Inaitwa kutapatapa hadi unamteua MTU Maana yake umemuamini anaweza, kutumbua ni kujiumbua kuwa si makini kwenye teuzi,sasa kama yule Mkurya wa dar ataleta tija gani
 
Sasa kama nchi imemshinda mnashindwa nini kushinda Uchaguzi na kuichukuwa?
Nyie CCM ndio wakurekebisha hii nchi kwa kuchagua mtu sahihi wa kugombea kwa uchaguzi ujao.

Tusidanganyane jamani, upinzani hauwezi ukashinda kwa mwenendo huu wa mataifa yetu ya kiafrika!

Chonde chonde CCM, ile hoja ya mihula miwili miwili, ifike mahala ihitimishwe na muhula uwe ni mmoja tu!!
 
Lkn Dunia nzima pamoja na vyombo vyote halali vya Kimataifa pamoja na vilivyosimamia Uchaguzi wa JMTZ vinamtambua Raisi wa JMTZ ni Magufuli, sasa kama mnapingana na Dunia nzima well, basi ninyi ndo mna matatizo na siyo Dunia!


Tanzania bhana, eti huyu naye ni Mtanzania mwanaume na mtetezi wa jiwe, tz raha sana
 
Kama Mwijage aliyesimamia ujenzi wa Viwanda 3000 katumbuliwa je wewe mwenzangu na miye?
Kwa hakika viwanda idadi hiyo ni vingi sana, effect yake lazima ionekane kwenye kila sector. Tunahitaji tu kupata updates za kila mwaka maana start-up businesses nyingi hufa ndani ya mwaka au miaka michache.
Na mimi nataka kuanzisha kiwanda, kuna tovuti yoyote inayo-narrate mazingira ya uwekezaji na incentives kwa wawekezaji (hasa start-up)?
 
pesa za mfuko wa korosho zitumiwe kwa amri kutoka juu,bilioni 200!!,ambazo ndio zimepelekea hali hii hapo uje umlaumu waziri tena kwa awamu hii ambapo kila kitu ni KONKI MWENYEWE!!waziri utamlaumu tu kama sera ya nchi au mazingira sio mazuri kwa wawekezaji hata afanye nini kuwapata ni ngumu!!!kwani hawawaoni wenzao wanavyopata tabu?
tuko pamoja nilisahau zogo lilianzia bungeni kwa ajili ya 200b sasa kwa mbali naona kunajambonkubwa linakuja Kwa mbaliiii wabunge kwa kusini huwezi kuwaweka pembeni wanahusika
 
Back
Top Bottom