FACTS: panga pangua ni wazi JPM kashindwa nchi imemuelemea na mambo hayaendi. Zile sifa sio za kweli uchumi unayumba

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kwa ukweli.na uwazi magufuli kachemka ila anaona aibu kusema ukweli.

Hii nchi kwa upnde wa uchumi ni mbaya na tumbua tumbua hii ni dalili tosha mambo hayaendi.

Kama Mwijage na viwnda vyake 3600 inauwaje natumbuliwa? Ajaye naye ataleta viwnda hivyo?

Hakuanzia hapa tumbua tumbua yaani miaka 3 ni panga pangua atamaliza mitano mambo ni hayajhaya ni dalili ya wazi kuwa nchi imemshinda na uchumi unakufa
 
Nilitegemea na makatubu wakuu nao waondolewe..Katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa wizara, kama mambo hayajaenda sawa nae pia anatakiwa awajibishwe. Kumuwajibisha waziri peke yake sidhani kama itasaidia
Huwezi Kukuta Wizara Ambayo Ipo Perfect 100% Clean. Saa Nyingine Kama Kila Kitu Mbele Yako Unaona Ni Tatizo Basi Wewe Ndio Lumbesa La Matatizo!
 
Kwa ukweli.na uwazi magufuli kachemka ila anaona aibu kusema ukweli.

Hii nchi kwa upnde wa uchumi ni mbaya na tumbua tumbua hii ni dalili tosha mambo hayaendi.

Kama Mwijage na viwnda vyake 3600 inauwaje natumbuliwa? Ajaye naye ataleta viwnda hivyo?

Hakuanzia hapa tumbua tumbua yaani miaka 3 ni panga pangua atamaliza mitano mambo ni hayajhaya ni dalili ya wazi kuwa nchi imemshinda na uchumi unakufa
cheo ni dhamana,tutatumbua tu hata wakifika 3000
Kikwete alivunja baraza mwaka wake wa pili tu
Muacheni magufuli afanye kazi,atapimwa 2020
 
Katika Afrika, hasa Tanzania kushinda uchaguzi hakukupi uhalali wa kutangazwa mshindi.

Lkn Dunia nzima pamoja na vyombo vyote halali vya Kimataifa pamoja na vilivyosimamia Uchaguzi wa JMTZ vinamtambua Raisi wa JMTZ ni Magufuli, sasa kama mnapingana na Dunia nzima well, basi ninyi ndo mna matatizo na siyo Dunia!
 
Kwa ukweli.na uwazi magufuli kachemka ila anaona aibu kusema ukweli.

Hii nchi kwa upnde wa uchumi ni mbaya na tumbua tumbua hii ni dalili tosha mambo hayaendi.

Kama Mwijage na viwnda vyake 3600 inauwaje natumbuliwa? Ajaye naye ataleta viwnda hivyo?

Hakuanzia hapa tumbua tumbua yaani miaka 3 ni panga pangua atamaliza mitano mambo ni hayajhaya ni dalili ya wazi kuwa nchi imemshinda na uchumi unakufa
maajabu ya Tz,utawala wa awamu ya 4 kulikuwa na orodha ya mawaziri mizigo hawakuwahi kutumbuliwa,huyu akitumbua kakosea duuh!kila mtu rais
 
Kwa ukweli.na uwazi magufuli kachemka ila anaona aibu kusema ukweli.

Hii nchi kwa upnde wa uchumi ni mbaya na tumbua tumbua hii ni dalili tosha mambo hayaendi.

Kama Mwijage na viwnda vyake 3600 inauwaje natumbuliwa? Ajaye naye ataleta viwnda hivyo?

Hakuanzia hapa tumbua tumbua yaani miaka 3 ni panga pangua atamaliza mitano mambo ni hayajhaya ni dalili ya wazi kuwa nchi imemshinda na uchumi unakufa

Unachokosiema ni kweli kabisa mkuu.watanzania tuendelee kuongea haya mambo.jiwe ameshindwa kushawishi taifa kuwa ni mtu sahihii kwa uongozi wa nchi yetu.
 
'..we're in ze 'light track'...tembeeni kifua mbele ndugu zangu watz.!

Akitumbua shida,na akiwaacha hao wanaoharibu ni shida..

bora nitembee kifua 'mbere'..
 
Back
Top Bottom