Facts about kissing

Facts about kissing

Kizaizai umeongea kwa kweli. Namna ya ku kiss ndio mpango mzima, maana kuna wengine, tobaaaa!!! hutataka arudie tena, hata ujitahidi vipi kuelekeza kwa vitendo ha respond ipasavyo. Mtu kama huyu ni talaka faster, usije ukanyofolewa kiungo :wacko:
Kweli kabisa ukiwa mjuzi wa kiss na ukampata anayejua ku-respond back +vely, hutoweza sahau jinsi mwili ulivyoreact.
 
Kizaizai umeongea kwa kweli. Namna ya ku kiss ndio mpango mzima, maana kuna wengine, tobaaaa!!! hutataka arudie tena, hata ujitahidi vipi kuelekeza kwa vitendo ha respond ipasavyo. Mtu kama huyu ni talaka faster, usije ukanyofolewa kiungo :wacko:

Usiombe ukutane na mwenye lips baridi utakoma, sijui kwanini wanakuwa hivyo.
 
kuna wengine wanakiss kizee khaaa hata raha ya kiss unakosa
 
Back
Top Bottom