Tanzania ina watu wanauelewa mdogo sana yeriko yeye kaleta utafiti uliofanywa na wewe leta was kwako. Miaka 5 ijayo Tanzania itakuwa na wajinga wengi sana, mungu wasaidie
kuna kipindi kuliletwa uzi kuhusu uimara wa jeshi letu pamoja na kuchangia na kukueleza kuwa jeshi la sasa haliko imara kama unavyofikiria ulikuwa wa kwanza kubisha sifa kubwa ya jeshi lolote duniani ni nidhamu lakini jeshi letu la sasa halina nidhamu rushwa mpaka kuchagua wanaoingia jehini badala ya kuchagua wanaokidhi vigezo hayo ndio yamechangia kiasi kikubwa
Bro those are just stats on arsenals and personnel
1 Egypt and other arab nations have never won any war and are still struggling with internal strifes
2.Ethiopia has been struggling with separatists for more the 30 yrs and cannot claim to have won anything
3 Kenya the incident of terrorists in a mall and how the army responded leaves a lot to desire and are still struggling with Alshabab and internal strive along the coast
4 South Africa- the new army has not been tested anywhere but the former boer army could not suppress the ANC guerilla army the list is endless
Hiyo analysis sio ya kweli. Nigeria imepewa nafasi ya tano wakati kila siku inahenyeshwa na boko haram. Ajabu zaidi DRC imepewa nafasi ya 12. Nimefanya kazi na hawa jamaa huko kwao, sijawahi kuona such a disorganized and undisciplined army kama hawa jamaa. Can you imagine mshahara wa askari wa ni dola 50 kwa mwezi na hakuna uhakika wa kupatikana kila mwezi. Matokeo yake askari kwa kuwa ana silaha anaamua kujitafutia kipato kwa njia yeyote ile. Akitokea mtu ana hela anawaahidi kidogo basi wanaacha jeshi la serikali na kuanzisha kikundi cha waasi. Ndio maana uasi na mauaji DRC hayaishi. Halafu mtu anasema jeshi la DRC liko no. 12 Afrika, aibu!
Mimi ni muumini wa wa fikra machipuko, huamini kuwa, hakuna upuuzi ulio upuuzi mtuputu, Vijana turuhusu akili zetu zizunguke nyuzi 360, tusijifungie kwenye matawa ya akili zetu, tusidumae katika muono huo huo,
Utafiti hupingwa kwa utafiti, kamwe haupingwi na matakwa ya mbongo zetu, niseme wazi, mimi nilipoona taarifa hii nilistuka, kwakuwa akili yangù iliamini kuwa Tz ni ya kwanza Afrika kwakuwa na jeshi imara hasa nikirejea historia ya ukombozi wa kusini mwa jangwa la Sahara na vita vya Uganda,
Ninawashangaa kweli tena ninawashangaa kwelikweli wale wote wanaopinga utafiti huu bila kupinga kwa utafiti mbadala, tangu watu waanze kuchangia hapa sijaona mtu akija na utafiti mbadala ili atushawishi kuupinga utafiti huu,
Nani anajua ripoti ya JWTZ ya uimara wa jeshi letu? Nani anajua ripoti ya Wizara ya Ulinzi juu ya uimara wa jeshi letu? Nani anayo na atuletee hapa ripoti yoyote mbadala ya uimara wa majeshi ya Afrika? Turuhusu mbongo zetu zitamalaki kwa mapana yote, tusifungwe na mawazo yetu mgando, tujenge tabia ya udadi yakinifu kwa falsafa ya sura tenge!
Hivi sisi tunaopinga huu utafiti tunatumia utafiti ama takwimu zipi zinazotambuliwa kitaifa na kimataifa?[/
Ni kweli unayosema. Lakinu kwa hili kuhusu JWTZ sio kweli. jWTZ bado ni jeshi imara barani africa.
JWTZ haina makelele kama hawa TISS ambao wengi wao ni baba mdogo na mjomba shangazi. Na tukisema tulete comparisons hapa ambazo sio rahisi kuzipata ziko classified haziwezi kutupa uhalisi manaa vifaa sio nguvu na weledi.
Hawa waliondika hapa ni washenzi tu ambao wameona hawapati hela za silaha sisi tunanunua china,russia and czech.
Wao pia waweke models walizotumia kupata jawabu kuwa jwtz sio lolote na naamini tutakuwa motivated kuleta research juu ya vikosi vyetu vya uslama.
Tiss wamejaa wala chips mchana na weupe akilini lakni JWTZ wamejaa werevu na watu imara muda wote.
Pamoja simpendi kikwete mana ndie ameharibu nchi hii lakni amejenga jeshi kwa hali ya juu kuliko Raisi yeyote. Ehh,tumpe sifa kwa hilo lakni mengine amekunyaa pembeni kwa kuleta undugu urafiki na siasa kwenye maslahi ya nchi.
Hakuna anayetuweza Africa. Mungu ibariki Tanzania.
Watu wanaleta vijembe na viroja badala ya kujadili mustakabali wa Nchi na Usalama wake.
Iwe ya ngapi si hoja sana! Je inakidhi haja ya kutulinda kwa sasa na je mwelekeo wake mbele ya safari uko ukoje?
Kuna eneo limenigusa sana nategemea wale wa Makao Makuu ya JWTZ na pale Magogoni wanaliona na kulifanyia kazi- in ten years ahead.
2. Algeria Power Index: 1.1698
As Algeria has a large maritime border, it has developed all its military capabilities to an impressively modern degree, including its land, sea, and air forces. Algerias active frontline personnel number more than 127,000 troops and it has nearly 2,000 armored fighting vehicles at its disposal. Algeria alsohas the added benefit of its own oil reserves, allowing it to use its own fuel to power tanks, aircraft carriers, naval vessels, and more.
Kwa uwepo wa rasilimali hii kuna haja ya haraka kubadili mwelekeo wetu kwenye aina ya vyombo vya Moto vinavyotumiwa na Jeshi.Ni vizuri kipaumbele ikiwa kwenye vyombo vinavyotumia Gas.Fast Growing Tanzania Looks To Begin LNG Production By ... Na ilikufanikisha hili kwa uzuri zaidi na kwa uhakika Kiwanda cha Jeshi cha Nyumbu Kibaha kijielekeze kwenye utafiti au Ushirikiana na Makampuni ya Nje kuanza kutengeneza Engine zinatotumia Gesi.
Mfano.
[h=3]Tanks[/h] Marines from 1st Tank Battalion load a Honeywell AGT1500 multi-fuel turbine back into the tank at Camp Coyote, Kuwait, February 2003.
The German Army's development division, the Heereswaffenamt (Army Ordnance Board), studied a number of gas turbine engines for use in tanks starting in mid-1944. The first gas turbine engines used for armoured fighting vehicle GT 101 was installed in the Panther tank.[SUP][36][/SUP] The second use of a gas turbine in an armoured fighting vehicle was in 1954 when a unit, PU2979, specifically developed for tanks by C. A. Parsons & Co., was installed and trialled in a British Conqueror tank.[SUP][37][/SUP] The Stridsvagn 103 was developed in the 1950s and was the first mass-produced main battle tank to use a turbine engine.
Since then, gas turbine engines have been used as APUs in some tanks and as main powerplants in Soviet/Russian T-80s and U.S. M1 Abrams tanks, among others. They are lighter and smaller than diesels at the same sustained power output but the models installed to date are less fuel efficient than the equivalent diesel, especially at idle, requiring more fuel to achieve the same combat range. Successive models of M1 have addressed this problem with battery packs or secondary generators to power the tank's systems while stationary, saving fuel by reducing the need to idle the main turbine. T-80s can mount three large external fuel drums to extend their range. Russia has stopped production of the T-80 in favour of the diesel-powered T-90 (based on the T-72), while Ukraine has developed the diesel-powered T-80UD and T-84 with nearly the power of the gas-turbine tank.
The French Leclerc MBT's diesel powerplant features the "Hyperbar" hybrid supercharging system, where the engine's turbocharger is completely replaced with a small gas turbine which also works as an assisted diesel exhaust turbocharger, enabling engine RPM-independent boost level control and a higher peak boost pressure to be reached (than with ordinary turbochargers). This system allows a smaller displacement and lighter engine to be used as the tank's powerplant and effectively removes turbo lag. This special gas turbine/turbocharger can also work independently from the main engine as an ordinary APU.
A turbine is theoretically more reliable and easier to maintain than a piston engine, since it has a simpler construction with fewer moving parts but in practice turbine parts experience a higher wear rate due to their higher working speeds. The turbine blades are highly sensitive to dust and fine sand, so that in desert operations air filters have to be fitted and changed several times daily. An improperly fitted filter, or a bullet or shell fragment that punctures the filter, can damage the engine. Piston engines (especially if turbocharged) also need well-maintained filters, but they are more resilient if the filter does fail.
Like most modern diesel engines used in tanks, gas turbines are usually multi-fuel engines.
[h=3]Marine applications[/h] [h=4]Naval[/h] The Gas turbine from MGB 2009
Gas turbines are used in many naval vessels, where they are valued for their high power-to-weight ratio and their ships' resulting acceleration and ability to get underway quickly.
The first gas-turbine-powered naval vessel was the Royal Navy's Motor Gun BoatMGB 2009 (formerly MGB 509) converted in 1947. Metropolitan-Vickers fitted their F2/3 jet engine with a power turbine. The Steam Gun BoatGrey Goose was converted to Rolls-Royce gas turbines in 1952 and operated as such from 1953.[SUP][38][/SUP] The Bold class Fast Patrol BoatsBold Pioneer and Bold Pathfinder built in 1953 were the first ships created specifically for gas turbine propulsion.[SUP][39][/SUP]
The first large scale, partially gas-turbine powered ships were the Royal Navy's Type 81 (Tribal class) frigates with combined steam and gas powerplants. The first, HMS Ashanti was commissioned in 1961.
The German Navy launched the first Köln-classfrigate in 1961 with 2 Brown, Boveri & Cie gas turbines in the world's first combined diesel and gas propulsion system.
The Danish Navy had 6 Søløven class torpedo boats (the export version of the British Brave class fast patrol boat) in service from 1965 to 1990, which had 3 Bristol Proteus (later RR Proteus) Marine Gas Turbines rated at 9,510 kW (12,750 shp) combined, plus two General Motors Diesel engines, rated at 340 kW (460 shp), for better fuel economy at slower speeds.[SUP][40][/SUP] And they also produced 10 Willemoes Class Torpedo / Guided Missile boats (in service from 1974 to 2000) which had 3 Rolls Royce Marine Proteus Gas Turbines also rated at 9,510 kW (12,750 shp), same as the Søløven class boats, and 2 General Motors Diesel Engines, rated at 600 kW (800 shp), also for improved fuel economy at slow speeds.[SUP][41][/SUP]
The Swedish Navy produced 6 Spica-class torpedo boats between 1966 and 1967 powered by 3 Bristol SiddeleyProteus 1282 turbines, each delivering 3,210 kW (4,300 shp). They were later joined by 12 upgraded Norrköping class ships, still with the same engines. With their aft torpedo tubes replaced by antishipping missiles they served as missile boats until the last was retired in 2005.[SUP][42][/SUP]
The Finnish Navy commissioned two Turunmaa classcorvettes, Turunmaa and Karjala, in 1968. They were equipped with one 16,410 kW (22,000 shp) Rolls-Royce Olympus TMB3 gas turbine and three Wärtsilä marine diesels for slower speeds. They were the fastest vessels in the Finnish Navy; they regularly achieved speeds of 35 knots, and 37.3 knots during sea trials. The Turunmaas were paid off in 2002. Karjala is today a museum ship in Turku, and Turunmaa serves as a floating machine shop and training ship for Satakunta Polytechnical College.
The next series of major naval vessels were the four Canadian Iroquois class helicopter carrying destroyers first commissioned in 1972. They used 2 ft-4 main propulsion engines, 2 ft-12 cruise engines and 3 Solar Saturn 750 kW generators.
Kenya wanaweza kuwa juu yetu lakini sijaelewa kuhusu Zimbabwe,,Sudan,D.R.C aliyeelewa vigezo vilivotumika anaeleweshe zaidi... na inakuwaje kuhusu Naigeria kuzidiwa na Boko Haram..!!?
Uaminifukazi hapo ndio ujue matako yanapochukua nafasi ya kichwa ndio mtu huwa anafikiri,kusema au kuandika maneno kama hayo,mtu kama huyu hata uume wake ukigoma kusimama atasema si unaona uume wa ccm huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.