Thanks for very useful thread, lakini imeandikwa hivi:- "wana masikio lakini hawawezi sikia, wana macho lakini hawawezi kuona"; ila usife moyo ktk watu 1000 watakaochungulia hii thread, 500 watasahau baada ya kusoma (mbegu juu ya mwamba), 480 watatafakari na wataachia mawazo yao mabaya at least kwa leo (mbegu kwenye miiba), 15 watafakari na kuacha hiyo kitu kwa at least mwezi mmoja (mbegu kwenye udongo usio na rutuba) na 5 watabadilisha maisha yao kabisa (mbegu kwenye rutuba) na kumshinda shetani na tricks zake zote.