Ordinary, observable matters (like Stars, moon and planets) makes up measly 5% of universe. The other 95% of universe is made up of invisible dark energy.
Mtoa mada kuna vitu unachanganya bila kujua. Unaposema observable universe maana yake si ulimwengu unaoweza kuuona, la hasha. Katika cosmology, observable universe ni ulimwengu ambao tayari unatambulika kwa kutokana na speed of light limit kwa sababu hakuna signal zinazoweza kusafiri kwa zaidi ya speed ya mwanga. Observable universe ndiyo inacomprise: ordinary (baryonic) matter 4.9%, dark matter 26.8% na dark energy 68.3%. Huu ndo ulimwengu unaofahamika mpaka sasa kwa hesabu za cosmology.