Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
HABARI ZENYU wandugu,...nimepata tatizo moja, ukurasa wangu wa facebook haufunguki, nikijaribu kufungua wanadisplay maneno haya hapa.
"For security reasons your account is temporarily locked
Unfortunately, your computer appears to be infected with a virus,
Don't worry. we will help you find and remove any infected files right away."
ndio hivyo tu, sasa baada ya hapa wanakuletea sehemu ya kubonyeza "continue"ukicontinue wanakupeleka kwenye macfee website na download link wakati uko logged in, na hauwezi kuona ukurasa wako kwasababu umezuiliwa na maneno hayo hapo juu....ukibonyeza download inaanza kudownload macfee anti virus...tafadhalini jamani, how can i open my page kwasababu kule kuna watu wengi nawasiliana na kuchati nao sasaivi wiki sijachati alafu kuna picha zangu nyingi nilizisevu kule....asanteni...