Kama unatumia operamini, bando lako likiisha utaendelea tu kutumia bure ila ukitoa laini na kuiweka au uki clear cookies ndo basi utaikosa, sidhani kama wamebadili tena hii kitu.
Mwanzoni mtu ulikua una access bure tu bila ata kuwa na data bundle, Lakini baadhi ya watu walitumia nafasi ile ku access na site nyingine bure pamoja nakushusha ma movie, sahizi sijajaribu hii 0.internet kwasabu ata nikiweza access sitaeza download Ip man 3 ata tela moja kwasabu ya speed ndogo ya net ktk eneo langu.