Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Hii Habari ni ya Kweli.
Soma Hapa
Nimefurahishwa sana na baadhi ya comments za waganda. Wako Tayari kuachana na Facebook kuliko kukubali huu ujinga wa Magaribi.
Sijui Wabunge wa Tanzania wanasubiri nini wasipeleke Mswada kama huu Bungeni.
Lakini inaonekana hili ni tatizo kubwa nchini Uganda. Leo kuna picha zimesambaa facebook zinazomwonyesha bosi wa timu ya taifa akiwalawiti wachezaji wa timu ya taifa ya wanaume ya Uganda. Wanatakiwa wamshughulikie kisawasawa kuonyesha kuwa hawapendi hiki kitendo cha kishetani.