Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Facebook imefunja ndoa za watu na kuharibu mahusiano ya watu, kwa vyo vyote mfumo wake ni mbovu na hauna privacy. Kila mtu anaweka kuweka uchafu wake kwenye wallpaper yako usipokuwa na uthibiti, na wengi wetu hawajui namna ya kuthibiti facebook profile yake kuwa private.
Acheni kuishambulia FB bana, mbona mi nimepata mchumba kupitia fb and in 2 months tutafunga ndoa?
Ninyi users ndo wabaya na wala sio mtandao wetu. Kila nikimuangalia my wife wangu to be nakumbuka facebook.
Long live Facebook😛oa
Na hiyo hoyo FESIBUKU ndiyo itakayomuondoa kwako, usisahau eeh!
Huyo si wa FESIBUKU?!

Mada hii haijabuniwa nami, ila wataalamu wa ilikoanzia ndio wanaoijadili.
Jaribu kufungua mdao nilikuletea, soma, sikiliza video ndio ukanushe wayasemayo katika utafiti wao.
Kila kitu kina faida na hasara yake,muhimu ni kipi kina faida zaidi.Acheni kuishambulia FB bana, mbona mi nimepata mchumba kupitia fb and in 2 months tutafunga ndoa?
Ninyi users ndo wabaya na wala sio mtandao wetu. Kila nikimuangalia my wife wangu to be nakumbuka facebook.
Long live Facebook😛oa
Kila kitu kina faida na hasara yake,muhimu ni kipi kina faida zaidi.