Ungeweka link ya hiyo page yako kwanza, tatizo sio ina likes ngapi bali ni watu wa aina gani wamelike, mf; siwezi kununua page iliyojijenga kwa habari za vichekesho ili nifanyie biashara ya hardware. Kama kuweka link ni kuvunnja sheria za jf but ungetutajia hata jina la page.