Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,049
- 773
Hivi unamuuzia mtu page yeye jina lako au biashara yako, ni sahihi? Kwa sababu Facebook page ikishafikia likes 400, huwezi kubadilisha jina tena..
Nifafanulie mkuu ivi kumbe ikifika like 400 ubadilishi jina tena? Maana Mimi nimeshafikishaHivi unamuuzia mtu page yeye jina lako au biashara yako, ni sahihi? Kwa sababu Facebook page ikishafikia likes 400, huwezi kubadilisha jina tena..
Inabadir huyo hajui mm nnayo na nimebadir jina ina zaidi ya miatanoNifafanulie mkuu ivi kumbe ikifika like 400 ubadilishi jina tena? Maana Mimi nimeshafikisha
Haibadiliki... Labda kama utaratibu huu ni mpya...Nifafanulie mkuu ivi kumbe ikifika like 400 ubadilishi jina tena? Maana Mimi nimeshafikisha
Haibadiliki... Labda kama utaratibu huu ni mpya...
Mimi naomba nifundishe marafiki wamejaa na bado wengi wanaomba urafiki sasa inaniambia niwapunguze niliokuwa nao ili niwaingize sasa nami ata sioni wa kumpunguza nifanyejeNimesema kama hujui jambo uulize. kubadilisha page hata iwe above 100m likes inawezekana tu. kama hujui tafuta mtu akufundishe tu.
acha uongo jina unabadilisha muda wowote mfano azam TV walikuwa wanajiita azam TV. lakini wamebadili wanaiita Azam TVHivi unamuuzia mtu page yeye jina lako au biashara yako, ni sahihi? Kwa sababu Facebook page ikishafikia likes 400, huwezi kubadilisha jina tena..
550,000.Weka bei yake
Kula 250,000550,000.
Kweli kabisaPesa nyingi sana kula 50000
Kula 250,000
sio lazmaNaomba nijue faida zake unaponunua page kama hiyo.
Naomba nijue faida zake unaponunua page kama hiyo.