Umenena vyema, ni marufuku kwa mwanamke kupost pic yenye ushawish fb, picha zote piga ukiwa na familia ( mme na watoto) kuweka picha ya makalio lazima utongozweWanawake wengi hawajiamini kwa kuonyesha wanajiamini kupita kiasi,,, mwanamke ukishaolewa lazima ubadilike na kubehave kama mke wa mtu sio ushamba I hate to see married women are posting their sexy pictures! Utatongozwa tu na mwisho wa siku wewe ni mtu unaweza ukatoa mzigo na sisi wanaume tutawaomba mzigo tu hasa tukiona post zako zinahashiria kuhitaji dawa
Na hawa wengine wanaovaa vimini na nguo za kubana njian tunapopita nao pia si wanafanya matangazo?Umenena vyema, ni marufuku kwa mwanamke kupost pic yenye ushawish fb, picha zote piga ukiwa na familia ( mme na watoto) kuweka picha ya makalio lazima utongozwe