Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
wakuu leo nikatakiwa kuapdate facebook messenger.kipya nilichokikuta sasa naweza kupiga simu free.kwa kuthibitisha hili nilifanikiwa kuongea na rafiki yangu mwenye version hii mpya.angalizo ni kwa android phone tu maana nilipojaribu kuwapigia wanaoingia fb kwa browser kama opera min,uc browser nk iligoma kabisa.nawashauri wenye android phone muipakue/au muapdate ili tuweze kufurahia version hii mpya.