Facebook Kuna Mambo

Facebook Kuna Mambo

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Wakuu, nimetumiwa hii Facebook. Nishaurini:
Hello dear friend my name is Miss xxxxx I saw your profile in Facebook i am having some private feelings in you please my lovely dear i want you to contact me in my private email address so that i will give you my pictures and i will tell you all about myself ok why i want you to contact me in my private email address is because this Facebook account that i am using is belong to reverend sister here that register it for me an the password is also with her please dear just contact me now ok this is my email address xxxxxx
 
utapeli, ukitoa e-mail address yako, ip address basi wanakumaliza haswa kama haujajizibiti na anti virus etc

ila najua wengi hamjui, na ndio mana nakushangaa unaomba ushauri wa nini haswaaaaaaaaaa.

haya usijibu ujumbe huo.

ukitaka kuwapata kuwa wana nia na una muda mjibu humo humo mwambie wewe unataka wasiliana fb utaona.
 
Mjini hapa. Achana na hao wapuuzi. Hata mimi nakutana nao kila siku. Hata kukutumia friend request hafanyi
 
Me kila siku napata upuuzi huu Fb, ninachofanya natuma picha ya uchi na madude hapohapo fb kwenye inbox yake bila maneno..... awarudi tena.
 
Me kila siku napata upuuzi huu Fb, ninachofanya natuma picha ya uchi na madude hapohapo fb kwenye inbox yake bila maneno..... awarudi tena.

Asante kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.
 
Duh, izo game za west africa, do away with them, sijui kwanini wanajifanya wapo makanisan,
why not in other ...
 
Inaonekana wewe ni mgeni sana wa fb na mtandao kwa ujumla. Kuwa makini, hakuna lolote la maana hapo.
 
Wezi wa kipuuzi tu hao, kitakachofuata ni stori ndeeefu za ubilionea, wee mjibu kupitia hiyohiyo fb, tena mtangulie kwa kumgeuzia kibao kumwambia thats coincidence, kwani unatafuta mtu umuwekee fedha kwenye account yake na ww ni mkimbizi. Then kama utamuona. Usimpe email yako asilani. Mwambie mambo yote ni kwa fb tu.
 
Ila swali najojiuliza, je huwa wanafanikiwa kweli? Hivi kuna watu dunia hii ni mazuzu kiasi cha kuweza kuibiwa kwa njia hiyo?
 
Duuh nimekutana nao hao mmoja anajiita Rita Jobe ana story ndeeefuuu..ila nilijibizana nae kwa email na hawezi fanya kitu..cha muhimu usiwape chochote ..kwa email hawawezi kusoma chochote..wengi wapo bizhoppers.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom