Asa
Asante kwa muda wako, ila Facebook kwangu si kwa ajili ya chitchat, nimejiunga na makundi ya elimu, mashirika ya habari yote ya nyumbani na kimataifa n.k.
Nahisi kupungukiwa kwa namna inavyosumbua.
Nimejaribu kuitoa na ku download upya lakini wapi, nimetengeneza account tofauti bado tatizo hilo lipo, nasubiri mtaalam aje kuokoa jahazi.