Facebook imepata shambulio la kimtandao?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,704
Reaction score
861,050
Kwa miezi hii mitatu imetumika kwa ukubwa wake kuunganisha sauti za wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanganyika
Ile FB iliyokuwa inadharauriwa na wasiojitambua ikawa mojawapo ya sehemu muhimu na ya uhakika ya kupata taarifa mbalimbali na updates pia
Leo tangu mchana haifunguki tena! Kumbuka GenZ waliitumia vema sana kwenye maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ