facebook imeniponza...

mautundu94

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
51
Reaction score
18
Nilimpenda dada wa facebook
nikamtongoza tukaelewana akawa
mpenzi wangu kweli tulikuwa tunamda
mwingi tunachati facebook. Tuna
enjoy na utani wa hapa na pale kwakuwa
tulipeana namba za simu tukawa tunapigiana sana simu hasa mida ya usiku tunapiga story za kikubwa ile mbaya mimi
nilikuwa nasoma chuo yeye aliniambia
anafanyakazi huko arusha japo
akuniambia anafanya kazi gan?
Na aliniambia amejipanga kimaisha kwaiyo shida ndogo ndogo yeye hana
Maisha yetu yamapenzi yaliendelea vzurisana japo hatukuwahi kumit live live nilitamani sana nimuone naye alitamani pia anione coz siku zote tulikuwa tunapeana mapenz ya kwenye simu na kupeana hamu tu .
Nilimuhaidi chuo kikifugwa lazma niende likizo huko kwake arusha kwakweli yule mpenz nilimpenda shida ndogondogo
alikuwa ananisaidia sana kama vocher
pesa alikuwa ananitumia za matumizi. Siku ya siku ikafika chuo kikafugwa yule
mpenzi wangu alifulahi sana kusikia hzo habali akanitumia nauli nikaenda kukata tiket.nikajipanga kesho yake safari ikaanza.
Nikawa kwenye basi nilitamani basilipae nifike faster nikakutanane nampenz
wangu nilifika salama nikampigia simu
akaja kunipokea pale stend kwakeli
tulifulahiana sana tulikumbatiana
kwafulaha kwakeli yule mdada alikuwa
mzuli sana jamani japo alionekana ana mwili kunizidi mimi lakni alikuwa
anashepu ya kuvutia sana tukachukua tax
tukaanza safari ya kuelekea nyumbani
kwake tukafika nyumbani kwake
akanikalibisha pale nje tuliwakuta
wapangaji wenzake kama wa tatu hivi tukawasalimia akanitambulisha pale
tukaingia ndani lakini kipindi tunaingia
ndani kuna kauli kuna dada aliongea sema
sikuyatilia maanani aliyema ''AMA MWAKA
HUU
ATAWAMALIZA WENGI'' afu wakacheka wote tuliingia ndani akaniandalia maji
nikaoga aliniandalia msosi wanguvu
jamani tukala tukanywa kwakweli
maandalizi yalikuwa mazuri sana
tukapeana story zahapa na pale na utani
mwingi mwingi tukacheza michezo ya kila aina mwisho tukajikuta kila mtu yupo hoi
yaani anamuitaji mwenzake kimwili
tulibebana hadi chumbani shughuli
ikaendelea kwakuwa nilikuwa na hamu na
yule mpenzi wangu alafu nakule ni ugenini
sikukumbuka condom nikachovya kavu kavu tukapeana mambo kila mtu akalizika
tukalala hadi asubuhi akaamka
akaniandalia chai nkaywa akaendelea na
shughuli ndogondogo za pale nyumbani me
nkaa sebuleni nikawa na angalia TV juu ya
kabati ya tv nikaona album ya pcha nkaichukua nikaanza kuangalia ndan ya
album kulikuwa kuna picha nyingi za
mwanaume mmoja na picha nyingi
alikuwa amepga na yule mwanaume
wakionekana kabisa walikuwa wapenzi na
pcha nyingi zilikuwa zimewekwa X kumanisha yule jamaa ni marehemu
MMH.niliwaza meng sana kuhusu hzo pcha
mara ghafla yule mwanamke akaingia
akanikuta na angalia zile pcha alishtuka
sana akaniuliza vp? Baby kuna tatizo???
Nikamjibu hakuna ila naomba uniambie huyu jamaa wa kwenye picha ni nani yako?
Akacheka kisha akaniambia jamani baby
huyu alikuwaga mpenzi wa zamani sana
nikamuuliza yupo wapi?
Akanijibu alikuwaga dereva alafu akapata
ajali alifaliki! DUU nilimsikiliza kwa makini nkampa pole kdogo roho ikatulia.
JAPO SIKUMUAMINI
SASA SABABU ZILE PICHA
ZILIKUWEPO HADI UKUTANI LAKIN
KAPOTEZEA
ILIPOFIKA UCKU KAMA MIDA YA SA 4 ALINIAGA ANAENDA
KAZINI NILISHANGAA SANA
KUONA M2 ANAENDA KAZINI SA
4 UCKU LAKN KWA KUWA SIKUWA
KWAMGU NILIMRUHUSU
AENDE 2 KWA CKU ILE NILILALA FRESH HADI ASUBUH ILIPOFKA
MIDA YA SA 2 AKARUDI MPENZI
WANGU 2KAPGA XTOR MBILI
TATU AKANAMBIA KACHOKA ANAHTAJ
KUPUMZIKA
NKAMWAMBIA POUWA MAISHA YALIENDA POUWA ZILE CKU
MBILI ZA KWANZA LAKN CKU YA
NNE NKAANZA KUBOREKA NA
TABIA YA YULE MWANAMKE KWENDA
KAZINI UCKU KURUDI
ASUBUH LAKN NILIVUMILIA 2 CKU MOJA NKIWA NAFUA NGUO
ZANGU ASUBUH WALE
WAPANGAJI WALINIFWATA
WAKANSALIMIA WAKAKAA PEMBENI
WAKANIAMBIA WANA
MAONGEZI KIDOGO NA MIMI NKAACHA KUFUA IKABID
NIWASIKILIZE MMOJA
AKANIAMBIA 'SAMAHAN KAKA
WE NI KIJANA MDOGO MZURI HV
UMEJIAMINI NINI KUTEMBEA NA
HUYU MWANAMKE NA KWANZA UMEKUTANA NAYE WAPI NA
UMEANZAJE SABABU WANAUME
WOTE WANAMUOGOPA WEWE
IMEKUAJE" NLISHTUKA SANA KUSKIA ZILE
HABARI NIKAWAELEZA
NILIPOTOKEA NA NILIPOKUTANA NA YULE
MWANAMKE HADI NIPO PALE'
WALISIKITIKA SANA KUSIKIA VILE
WAKANIAMBIA YULE
MWANAMKE ALIOLEWAGA NA
MUME WAKE KAFARIKI KWA UGONJWA WA UKIMWI NA TOKA
MUME WAKE AFARIKI
ANAFANYA BIASHARA YA KUUZA MWILI
NDO MANA HUWA
ANAONDOKA UCKU ANARUDI
ASUBUH NA WAKANIAMBIA KAMA NABISHA NIENDE
KWENYE DRO YAKE
NIKAANGALIE NTAKUTA VIDONGE NA CHETI
CHAKE'
AKILI YOTE ILINIHAMA JAMAN
NKAIONA DUNIA CHUNGU SIKUAMINI MACHO YANGU
NKAENDA NDANI KUANGALIA
HVO VDONGE NA HCHO CHET ZILE HABARI
ZILIKUWA KWELI
JAMAN NLIJI2PA KITANDAN NA
KUPOTEZA FAHAMU ALIYENSTUA NI YULE MWANAMKE ALIVORUDI
ALISHANGAA KUNKUTA KTK
HALI ILE ALIPONIULIZA NKAMPA ZLE
HABARI
ALICHONJIBU NI HKI! 'SASA
KUSKIA HABARI HZO NDO UPOOZE HVYO MBNA KAWAIDA
2 MBNA ME MGONJWA NA BADO
NAISH VIDONGE SI VIPO WE ULITAKA MI
NIFE MWENYEWE
HAPA TOWN WEWE' DUU YALE
MAJIBU YALINCHOSHA NKAJIONA CNA THAMAN HAPA
DUNIANI NTAWAAMBIA NIN
WAZAZI WANGU ELIMU YANGU NI SAWA
NA KAZI BURE DAAA'
MUWE MAKINI JAMAN
USIMUAMINI M2 KWA MACHO
 
naona unaingilia fani ya Mtambuzi na MziziMkavu
 
Mwanzoni umetiririka vzur nikawa nakuelewa na kuona ubora wa topic yko...huku mwishon umeweka bongo movie kidogo ikafanya ukali wa topic yko kudrop!....tunapenda vitu real tujifunze sio umahiri wa kukaa kitandani na kutunga story,
 
kuna haja ya darasa la kiswahili

maana nasoma aLiLudi, alikasiLika, tulifuLahi, Alusha,
 
Kama ni story ya kweli, ndoka nenda kacheck afya. There some chances kwamba utakuwa mzima kama hukuwa umeathirika huko kabla; maana looks like una alergy na condom. Si wana sema mtu akiwa anatumia ARV huwezo wa kuambukiza mwenzake ni mfinyu!
 
Next time nogesha hadithi yako na picha kama wanavyofanya wenzako!
 
U mtunzi mzuri. Ila kulala na mwathirika ni issue moja na kuambukizwa ukimwi ni issue nyingine, kapime kwanza!!!
 
hpe that u ddnt mean ulichoandika hapa na hivi unadhan ni rahis kulala na mwathirika then kuja kufanya display hapa kirahis rahis eeeeee
 
Pole sana, ingawa ukweli ni kuwa si facebook iliyokuponza, bali ni kukosa umakini kwa kukubali kuingia kwenye mahusianio ya kingono bila taahadhari wala kumfahamu mtu vizuri. Hata hivyo kama alivyosema Zamaulid na Kaunga unaweza kupima kupata uhakika wa afya yako maana kuna asilimia kubwa unaweza ukawa hauna maambikizi.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Unakutana na mtu facebook, unamwamini kiasi cha kufanya nae mapenzi bila kinga?? Mmmh....!
 
Mi cjapenda hiyo alushga,aliludi tulipata laha?jaman sema arusha au raha me wananiboa sna wa2 wa LL ila kapime dogo na uwe unatafuta storia ya m2 cio uchanganyikiwe na vocha kulelewa noumer
 
Duh! Unakutana na mtu facebook, unamwamini kiasi cha kufanya nae mapenzi bila kinga?? Mmmh....!
uchunguzi wangu binafsi unanionyesha kuwa watu kama nyie ndio hamtumiagi kabisa zana!
 
Nilifikiri unaelezea yaliyokukuta lakini haya yaninifanya niamini ni story ya kutunga.
1.Wale wadada wakakuambia huwa anakwenda kujiuza usiku na wewe ukaamini kwani alipokuwa anakuacha alikuwa anakuambia anafanya kazi gani?.....hata kama ni malaya alikuwa ameshapata wa kumpa dozi au alikuwa anafuata pesa ya matumizi ya kuku care wewe?

2.Umesema ulipoteza fahamu mpaka alipokukuta yule dada upo katika hali hiyo akakuuliza ukamjibu...je uliwezaje kumjibu na ulikuwa umepoteza fahamu?,vinginevyo tunashukuru kwa somo zuri ulilotupa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…