Kua verified na kuwekewa blue tick/ Facebook blue badge hapo hadi account iwe ina wakilisha public figures mfano mtu maarufu, msanii au taasisi ili kufanya account iwe tofauti na nyingine mfano kama ilivyo JF ipo verified katika mitandao ya kijamii.
Ila kuverify account kwa kawaida hapo ni kuifanya account itambulike na facebook au na watu wengine hapo ndipo unaweza verify kwa email au namba ya simu ili facebook watambue mtumiaji wa account hiyo ni mtu halisi wala si robot.