Facebook Account haifungui

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
11,194
Reaction score
25,535
Jamani waungwana mbona sipati Access ya facebook account yangu, au kuna tatizo? maana hata ninapoandika www.facebook.com sioni chochote kinacho appear.

Msaada jamani.
 
Wasiliana na co-founder Mark Elliot ZuckerbergπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ukiona hivyo ujue uko katika " radar " za TCRA hivyo kajisalimishe haraka kabla hujagawana nao majengo ya serikali.
Hahahahaaaa...... tayari mkuu naona imeshatengemaa japo nilishtuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…