FA Cup: Yanga Vs Ndanda, Azam Vs Prison

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,945
67,564
Leo kuna mechi mbili za Kombe la Fa kati ya Yanga VS Ndanda pale uwanja wa Taifa na Azam Fc Vs Tanzania Prisons katika uwanja wa Azam complex pale Chamazi.
Washindi wa mechi hizi wataingia nusu fainali ya mashindano haya.

Mechi zote zitapigwa kuanzia saa 10 jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki, karibuni tupeane yanayojiri toka kwenye mechi hizo. Pia mechi zitaoneshwa kupitia Azam tv.

cc : mkolaj Makoye Matale Amavubi Nifah

MATOKEO YA ROBO FAINALI KOMBE LA FA
Azam 3-1 Tanzania Prisons
Yanga 2-1 Ndanda SC

Wafungaji(Chamazi)
Shomari Kapombe 09' 50' l Jeremiah Juma 31'
Khamis Mcha 86'

Wafungaji(Taifa)
Yondani(PK) 69 l Makasi 56
Nonga 27


*Mpira umeisha uwanja wa Chamazi na uwanja wa Taifa, kwa matokeo haya Azam na Yanga wanafanikiwa kufika nusu fainali ya kombe la shirikisho.
 
...haya majamaa siku zote lazima yapewe penalti,tena zaidi wakiwa wametangulia kufungwa!
 
Kwa maana hiyo Wazee wa kimataifa waliochafua passports zao watakutana na nani nusu fainali?
 
nimeshuhudia pambano la waukaya na nimesikitika Ndanda kukataliwa goli la wazi kwa dakika za mwanzoni

sikuweza kuwa live mtandaoni kwa kuwa nilikua live uwanjani Mussolin5
 
Back
Top Bottom