GE2025 Ezra Chiwelesa amechukua fomu ya ubunge kutetea jimbo la Biharamulo Magharibi

GE2025 Ezra Chiwelesa amechukua fomu ya ubunge kutetea jimbo la Biharamulo Magharibi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Mhandisi Ezra Chiwelesa kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kipindi Cha 2020-2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha pili kama ulivyo utaratibu wa chama hicho.

Chiwelesa amesema matumani yake ni kuendelea kushirikiana na wananchi katika kujiletea maendeleo.

Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge amekabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera Bw. Adam Soud.
1751442370998.png
 

Attachments

  • 1751442328044.png
    1751442328044.png
    119.3 KB · Views: 17
Chiwelesa amesema matumani yake ni kuendelea kushirikiana na wananchi katika kujiletea maendeleo.
Hapana lengo ni lingine kabisa sio hilo

Wooote wanaochukua fomu wana malengo mengine kabisa, maana jana kuna mmoja nilimsikia alichokua anakiongea mpaka nikashtuka kwa hio hawa wanachukua fomu lengo ni hili sio kuwasaidia wananchi
 
Back
Top Bottom