kumbe wana mazoezi makali namna hii! Sasa wale Wapokot wafugaji kule Baringo waliwezaje kusambaratisha kambi ya KDF?Hiyo training kali sana.... big up vijana wetu machachari, nchi yetu iko salama.
kumbe wana mazoezi makali namna hii! Sasa wale Wapokot wafugaji kule Baringo waliwezaje kusambaratisha kambi ya KDF?