External yangu partion moja haisomi

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
940
1,847
Habari za muda huu wana JF.

Nina External Hard drive ya 2TB, niliifanyia partion katika sehemu 3, 500GB, 500GB na 1000GB.

Sasa hii partion ya 1TB ghafla tu imegoma kuvunguka ukiifungua inakwambia..."Access denied" ina vitu vyangu muhimu, naweza kuifanya ikasoma bila kuiformat?

Mwenye kujua anusaidie, maana kuna baadhi ya kazi nashindwa kufanya

Natanguliza shukrani...
 
Mambo ya kuweka partition nimekoma mpk ssa PC haiwaki enewei right click nenda kwenye properties>>>disc manager>>Angalia kama kuna partition izo 3 kama zipo mbili au 1 ujue haikukamilika vzr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom