Habari , External hard disk yangu niliichomeka kwenye TV moja hivi na kuitoa bila mpangilio, Sasa kila nikiweka kwenye laptop inaandika Data Error Cyclic Redundancy Cheki. Au Sometimes inataka uiformat , Na ukiweka OK inagoma , Naomba msaada ! Ni transcends 1 tbh.