hilo jicho sasa............
Kumbe nawe umeliona eenh...
naona aibu sasa mkizidi kulitazama looh
Hahaha...mie napenda sasa kulitazama
Ouch! Nampatia picha current "Husband/Boyfriend" atakavyo reactshe was a best liar ever!
ngoja nilifumbe kwa muda looh au nivae wani
Utadhani ulikuwepo...ilibaki kidogo nikuombe ulifunge ili pia nilione likiwa limefungwa au kuvikwa wani!!
Ouch! Nampatia picha current "Husband/Boyfriend" atakavyo react
hiyo picha itakuwa black n white..
hahahahaaa basi nalitoa kabisa hehehehee weeeweeee wacha nibadili hiyo avatar now
Sasa mbona tena waniwekea ugonjwa wangu best...
Hapendeki
heheheee shosti hadi nimeona aibu ngoja nilifumbe
Ex- what? Mbona wote mumerukia kwenye malavidavi?
Wabongo bhana.
Boflo labda kamaanisha ex-boss au ex-.....