Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Oct 1, 2011 #41 Inategemea na unavyojitunza maana wapo wa 20-28 ukiwaangalia utafikiri wazee.
U utantambua JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,367 Reaction score 324 Oct 1, 2011 #42 Hii thread inagusa hisia za kukera ama kufurahisha kama ile ya watu wafupi na tabia zao. Kuweni makini ktk kuleta mada za namna hii
Hii thread inagusa hisia za kukera ama kufurahisha kama ile ya watu wafupi na tabia zao. Kuweni makini ktk kuleta mada za namna hii
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Oct 1, 2011 #43 Jestina said: kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee Click to expand... Jestina,asikutishe huyo,the best is yet to come for you!
Jestina said: kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee Click to expand... Jestina,asikutishe huyo,the best is yet to come for you!
Mtafiti1 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 263 Reaction score 148 Oct 1, 2011 #44 "expiry date" kwa wanaume mbona iko karibu zaidi kuliko kwa wanawake? Wewe uliyeleta mada ujue kila "unapofanya" unakaribu ku-rip!
"expiry date" kwa wanaume mbona iko karibu zaidi kuliko kwa wanawake? Wewe uliyeleta mada ujue kila "unapofanya" unakaribu ku-rip!
Nsiande JF-Expert Member Joined Jul 27, 2009 Posts 1,649 Reaction score 878 Oct 1, 2011 #45 Mwendawazimu2 said: On average; Muda wa kupendeza na kuenjoy maisha 20-28 yrs Above 28 year, choka mbaya.. Click to expand... Whew! so including ur momma? Tell me sth, when ur wife hits 28 you'd start calling her 'choka mbaya' ? And what exactly choka mbaya @ 28 implies? In terms of having more kids, starting a job, getting a promotion, or sheer face beauty ?
Mwendawazimu2 said: On average; Muda wa kupendeza na kuenjoy maisha 20-28 yrs Above 28 year, choka mbaya.. Click to expand... Whew! so including ur momma? Tell me sth, when ur wife hits 28 you'd start calling her 'choka mbaya' ? And what exactly choka mbaya @ 28 implies? In terms of having more kids, starting a job, getting a promotion, or sheer face beauty ?
C Capitani Member Joined Sep 7, 2011 Posts 79 Reaction score 14 Oct 1, 2011 #46 Resach ya CHOKA mbay ya mwanamke ni pale tu matiti yanapokuwa yamelala, hata aweje yakilala yamelala tu, afanye plastic surgery bado yatalalatu. hicho ni kipimo tosha kinachoonekana. vinginevyo ajaribu U Miss kama ataweza. atapigwa puuuuuuu.
Resach ya CHOKA mbay ya mwanamke ni pale tu matiti yanapokuwa yamelala, hata aweje yakilala yamelala tu, afanye plastic surgery bado yatalalatu. hicho ni kipimo tosha kinachoonekana. vinginevyo ajaribu U Miss kama ataweza. atapigwa puuuuuuu.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,257 Reaction score 13,265 Oct 1, 2011 #47 Jestina said: kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee Click to expand... Anza kuyala usiku na mchana ili kufidia uliyoyaruka.
Jestina said: kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee Click to expand... Anza kuyala usiku na mchana ili kufidia uliyoyaruka.
la Jeneral JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 392 Reaction score 57 Oct 1, 2011 #48 ilo ndo tatizo la kukurupuka,ila jina lako inaweza kuwa ndo chanzo cha topic ulopost si unajiita mwendawazimu,,,,hamna ukweli hata robo wa maada yako
ilo ndo tatizo la kukurupuka,ila jina lako inaweza kuwa ndo chanzo cha topic ulopost si unajiita mwendawazimu,,,,hamna ukweli hata robo wa maada yako
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,032 Oct 1, 2011 #49 jamani sasa tunachoka na hoja za watoto wa college, usiwazungumzie wale unaoweza kuwafikia wewe tu
B Baikoko Senior Member Joined Oct 11, 2010 Posts 108 Reaction score 18 Oct 1, 2011 #50 Nina ngoma ya 52 na ina watoto 4, haina mpinzani!
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Oct 1, 2011 #51 The great R said: Naona urudie tena research Click to expand... Research ya nini wakati mtu mwenyewe aliyetoa hii post anajiita "mwendawazimu2"?? Unategemea akirudia research ndiyo atakuja na matokeo mazuri kweli?
The great R said: Naona urudie tena research Click to expand... Research ya nini wakati mtu mwenyewe aliyetoa hii post anajiita "mwendawazimu2"?? Unategemea akirudia research ndiyo atakuja na matokeo mazuri kweli?