Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
you are the best sijui nani ...vp kuhusu ku repairnenda maduka ya vifaa vya computer ulizia USB HUB...itakupa uwezo wa ku expand usb zako, nyingine zina port nne hadi tano..haizidi buku 10...
ku repair itategemea na jinsi hiyo port yenyewe ilivyoharibika na ujuzi wa fundi mwenyewe aneetengeneza...but general, kurepair usb ports si kitu rahisi kibongobongo...ndo maana unashauriwa kuwa makini sana na hizi vitu..you are the best sijui nani ...vp kuhusu ku repair
Kaka na mm nahitaji hub lakini siyo USB, ni serial yenye at least 4 ports