Alola JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 476 Reaction score 300 Aug 22, 2014 #2 Hakusema karatasi haitoshi upana kweli huyo? Ananikumbusha jamaa mmoja wakati anashika computer mouse ili kuselect file kwa mara ya kwanza akamuuliza mwalimu "mbona hiki kimeza cha computer hakitoshi?" Jamaa ana drag mouse mpaka mwisho wa meza...
Hakusema karatasi haitoshi upana kweli huyo? Ananikumbusha jamaa mmoja wakati anashika computer mouse ili kuselect file kwa mara ya kwanza akamuuliza mwalimu "mbona hiki kimeza cha computer hakitoshi?" Jamaa ana drag mouse mpaka mwisho wa meza...
J jorojo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 1,642 Reaction score 12 Aug 22, 2014 #4 Cpo sahii hapo