Exim Bank (T) Limited

Exim Bank (T) Limited

nyotayao90

Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Hawa Jamaa kazi zao wanatangaza wapi.? natamani nipate hata kazi ya Bank Teller., maisha magumu kwel mtaani
 
piti website yao tab ya careers....
ukishindwa sana peleka barua yako pale exim towers...
ukishindwa kabisa kabisaaaaa, jilipue kwa staff mmoja mpe CV yako akufkishie inapostahili kufika.....
acha lelemama
 
Peleka CV yako ofisini kwao, unasubiri wakutangazie wewe na kwani watoto wa mjomba hawapo?
 
Back
Top Bottom