Exile in US to run in Kenya Presidential Elections

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,297
24,181
With half a dozen degrees in law under his belt, Professor George Luchiri Wajackoyah, a Kenyan aboard, has decided to jump in the fray with many other potential candidates for the position of President of Kenya in the forthcoming elections in early 2012

Professor who also suffered under a former president and had to relocate to the United States through the support of the American Embassy in Nairobi, my experience resonates well with Prof. Wajackoyah’s experience. I recommend him to Kenyans in Diaspora as a person who is untainted by the political, legal and administrative evils that bedevil the various departments of the Kenyan government.

He has not only gone through the streets but was able to become a police officer and eventually an inspector of Dr. Ouko’s death. His refusal to doctor the correct report on Dr. Ouko led to his suffering under the president of the time. This defiance of authority culminated in his subjection to torture, which he freely accepted as a morally responsible person and not as an inanimate cog in a machine.

As president and as a force from outside, he will be in a position to bring about cultural change through his ministerial and administrative appointments that, we hope, will be occupied by a fraction of those in Diaspora. He, as an external force for change in Kenya, will need the support of Diaspora government appointments at all levels to ensure the perpetuation of his reform programs. Kenya needs a person who can ensure infusion of new, progressive values divorced from the old ways of doing things. I believe that Prof. Wajackoyah is the person Kenya is looking for. Let us wholeheartedly support him to be an untainted President of the Republic of Kenya in 2013. http://jamhurimagazine.com/index.ph...t-kid-“chokora”-to-be-president-of-kenya.html

Interview with Prof Luchiri:

Last edited by a moderator:
Ndugu bagamoyo
There is this emerging trend among the current "breed of presidential hopefuls" in kenya who think that having been tortured and flogged by previous opressive regimes is a direct sympathetic nomination for the candidacy of the presidency and other high offices. But kenyans need to know their backgrounds, what they managed to achieve while in exile and what agendas they have for the improvement of the economy, unity of the nation & excetera..
 
Moi kaondoka madarakani miaka mingi sasa, kwa nini huyu bado yuko Marekani?

Mbona exiles wenzake wa tangu enzi za Moi kina Miguna Miguna washarudi kitambo tu?
 
Moi kaondoka madarakani miaka mingi sasa, kwa nini huyu bado yuko Marekani?

Mbona exiles wenzake wa tangu enzi za Moi kina Miguna Miguna washarudi kitambo tu?

Jama miyeyusho tu huyu!...very hollow in his approach and he is using this 'Presidential run' kuwakomoa
watu huku marekani.

Debe tika halishindi.....
 
Funguka mkuu, kuwakomoa watu kivipi?

The guy is a fraud to say the least and his short lived campaign has been unmasked.

Alipata wafadhili kadhaa ambao waliamini story yake hook, line and sinker! Hata hivyo the man was basically
canvassing in the diaspora na watu wakaanza kumuuliza mbona bado hajaenda mashinani kuendeleza kampeni
yake and he did not give a tangible answer. So slowly by slowly people started peeling away when they realized
what he was about.

Check your PM for further details.
 
Naamini kuwa Kiranga has a mind of his own kutambua sio rahisi kubashiri siasa za kenya, sababu ya ukabila na mambo mengine. Ukabila ni mlima ambao wanasiasa wakongwe hivi sasa wana kibarua kumenyana nao. Everything is now put in the open for everyone to see. Muhimu zaidi ni anayetafuta urais atoe agenda yake kwa wananchi wa kenya.
 
Part ya kutambua huko ni kuangalia mtu ana ukaribu gani na wananchi.

Mtu hanipi feeling ya kuwa na confidence naye kama anataka kuwania urais kutoka Marekani, kwa kuendesha conference calls.

Hata kisingizio cha ukimbizi wa kisiasa hana kwani tumeona dissidents kibao wamerudi, hence the Miguna example.

Huyu yuko serious na urais kweli? Au anatafuta urahisi tu?
 
Ndivyo ndugu, ninyi ndio wachache ambao mumeadimika maana unasema jinsi inavyopaswa kutamkwa. Kama nilivyo sema hapo awali siasa za kenya ni ngumu kutabiri kwa sababu nilizopeana mojawapo ikiwa ukabila, ubinafsi, chuki za jadi, hata ugaidi wa kisiasa.

Ni vugmu kulinganisha siasa za kenya tuseme na tanzania au uganda kwa sababu Ukitizama Tz mfano kuna CCM vs Chadema. Msimu wa CCM ukiisha ni dhahiri Chadema msimu wao unaingie. Ukitizama Uganda, hata sisemi lolote. Aliyeingia uongozini bado yupo tu na atasalia pale pale..

...Wakati huu siasa za kenya zinabadilika kwa kasi, sio kibali tena kupata urais kupitia hamasa kwenye vyombo vya habari dola, na habari.
 
Back
Top Bottom