Exclusive: Ligi kuu ya england ndani ya azam tv

Efendi

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
302
425
Azam tv wamethibitisha kuanza kuonesha mechi za epl kesho wataanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield United saa 11:00 jioni naona Azam wanaelekea kwenye mapinduzi ya burudani sisi kama wadau tunawapongeza Azam kwa kuisogeza burudani
azamtvtz-20190830-0001.jpeg
 
Kama ni endelevu, itakuwa Azam kapiga hatua kubwa sana .

Kwani Azam ananufaikaje ni EPL, laliga na nyinginezo?
 
Afcon tu wameshindwa kuonyesha mpaka mwisho,,watawezaje EPL??

Kuonyesha mechi moja ya EPL hata TV1 washafanya sana..pia startv back in days
 
Ila Mpira ukishabadilishwa lugha utamu wote hupotea.
Ukute Azam ananunua Dstv maana Dstv wana monopoly
Wamekupa options mbili.. ila usemalo ni kweli ata movie ikitafsiriwa kwa Kiswahili inakua siyo.
 
Mtoto huanza kwa kutambaa.. big up Azam. Mlianza na TPL ikaja La liga, F.A cup, sasa premier league ingawa ni mechi moja ya jmosi saa 11. Bila kusahau Samata tuna muona na Genk yake, wabongo tupeane moyo au mlitaka Azam iwe kama Digitek ndiyo mfurahi.
 
hizo mechi ni za fta tu kila week wanapewa mechi moja tu,,TV1 ,ATN, Channel ten,EATV nazo walishaonyesha kipindi cha nyuma
 
Back
Top Bottom