Mkataba wake umebakiza wiki moja. Waliotakiwa kubaki waliitwa kabla ya ligi kuisha wakasaini wakabeba maburungutu yao wakasepa. Wengine wako Amerika wanamwagilia moyo. Yeye hakuitwa kujadili mkataba mpya bali alipewa barua ya kumtaarifu hataendelea kubaki Simba SC. Sababu kubwa ya kuachwa Wala siyo kiwango chake