Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,848
I got you smile ,Smile love is shared and not lonely enjoyed ,if I have understood you as I should.greatest love of all
I decided long ago, never to walk in anyone's shadow
If I fail, if I succeed
At least I live as I believe
No matter what they take from me
They can't take away my dignity
Because the greatest love of all
Is happening to me
I found the greatest love of all
Inside of me
The greatest love of all
Is easy to achieve
Learning to love yourself
naimba naimba
endelea kusubiria parner wa kushare dearI got you smile ,Smile love is shared and not lonely enjoyed ,if I have understood you as I should.
Tunashukuru kwa elimu mkuu
endelea kusubiria parner wa kushare dear
haya ndugu asante kwa elimu yako.mume nitakaye mpata nitampenda.kumjali kumtii.kumuheshim na kumthamin....
I understand unachokisema Lara 1,pengine ni madhara ya mahusiano uliyokua nayo mwanzano,inalipa kuwa tofauti ya hiki ulichokisema Lara1,with all the due respect nayakubali na ku heshimu mawazo yako,kwanini tusiwe na open an positive minded attitude ,na kuzidi kuchunguza hili eneo kwa u positive zaidi madam.DONT GET IT TWISTED LOVE IS A BEAUTIFUL THING!!!!!!!!!
Ujue mapenzi matamu sanaa yakiwa on freelance basis! Mnaelewana, volntarily mnakubaliana kushare your life! SASA UTATA MAPENZIYANAPOGEUKA DENI!!!!!!!!!!!Utajuuuuta kumpata huyo mwenza!.
Mimi philosophy yangu SIMLAMBI MTU MIGUU ASILANI!!!!!!!!!! Mapenzi yakiwepo na mie najaa tele, kikinuka, huyo najikataa na virago vyangu sisubiri kuambiwa toka, wala kufikiriwa upya, wala kuja kuombwa samahani za nafiki na uzandiki. Tartibuuuuu kwa raha zangu naaangali opportunity mpya kwenye maisha! Trust me it just a matter of time to mtu aakuwa CONTROLLED AND DELETED totally and completely!
Wanaume wananiambiaga Lara a KIBURI SANAA na DHARAU! Sina hata kiburi! YA NINI NIWEKE MAISHA YANGU NA FURAHA YANGU REHANI KWA CHIZI ALIE ROGWA TENA!!!!!!!!!????????? Akhaaaaaaaa! Wanaume wote hawa mjini! Si ntachekwa mie!
Akirudi kama katoka kiuchumi ANASAMEHEWA ili nijicompasate for THE CRIMES COMMITTED AGAINST ME and being take advantage! Kama kachoka apeleke FREEPUMBU zake huko! Akae mbali kabisaa na mimi kama anajipenda! Ntamnyambaaa! Ntamchambuaaa! Ntamuumbua, Na kumdhalilisha mpaka aombe pooooo!
I understand unachokisema Lara 1,pengine ni madhara ya mahusiano uliyokua nayo mwanzano,inalipa kuwa tofauti ya hiki ulichokisema Lara1,with all the due respect nayakubali na ku heshimu mawazo yako,kwanini tusiwe na open an positive minded attitude ,na kuzidi kuchunguza hili eneo kwa u positive zaidi madam.
Wanakuja wenye busara zao, mi nikisema hapa itakua noma.. maana natoaga yote kumoyo.... ngoja nilale ntarudi kesho....ninawasalimu nyote .
Ninataka nilete mada ifuatayo kwenu,ili tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano/mapenzi.
Wakati mapenzi yalitarajiwa kuwa uwanja wa furaha upendo na amani,mambo yamekua tofauti,mapenzi yamekua uwanja wa fujo,in fact mapenzi hayana hadhi yaliyopaswa kuwa nayo,hii kwa mtazamo inachangawia na kukosa kana kwa upendo,utii na unyenyekevu baina ya wapenzi.
Mapenzi yatazidi kuleta uzoefu mgumu kwa kwa wakazi wa dunia hii,mpaka pale tutakoamua kuwa na viini hivi vya umuhimu katika mahusiano yetu,:-upendo,utii,heshima,unyenyekevu na kujaliana,bila kujali jinsia yako,wadhifa wako katika jamii au kingine chochote.
Zingatia ambatanisho lifuatalo.