Excellent Again

Haaaa haaaa haaaa!afande udenda ushamtoka akajua bacccccccccc!kumbe msuto!
 
sauti ilisikika kichakan ikiomba msaada''nisaidien nakufaa''gafla lilitokea bonge ya baunsa kichakan huku likihema na boxa mkonon likasema''dah japo wamenigonga lakin kwa mbinde.
Haaaaa haaaaa haaaa!
 
Hahahaha afande akadhani kapata opportunity!
 
ha ha ha ha acha mchezo kaka hiyo hitu haina umri!!!! kwi kwi kwi!
 
Mmh jamani hapo kwenye kubip kwa line ya tigo nimecheka miyee huyo mzee ukimuona anakuja kwenye msiba wenu mpakulieni sinia lake akale kwake maana ni balaa lol mecheka sana bila hata kutekenywa
mmmh lakini wajua anayetuchekesha ni sawa na anatutekenya hebu fikiria umetekenywa na wangapi nawe umetekenya wangapi makwapani au mbavuni au unyayoni mhhh ctaki waza zaidi bye
 
teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…