INAUZWA Excavator Caterpillar 320cl inauzwa

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,391
Habari ya jioni wakuu. Nawaletea mtambo huu wa ujenzi unauzwa.
Make: Caterpillar Excavator
Model: 320 CL
Masaa: 14600
Location: Morogoro
Bei: 120M

Haina shida yoyote ipo tayari kwa ajili ya kazi muda wowote, ukitaka kukagua basi nicheki
0755963775 calls/WhatsApp

IMG-20220516-WA0796.jpg


IMG-20220516-WA0794.jpg


IMG-20220516-WA0800.jpg


IMG-20220516-WA0801.jpg


IMG-20220516-WA0798.jpg


IMG-20220516-WA0799.jpg


IMG-20220516-WA0804.jpg


IMG-20220516-WA0802.jpg


IMG-20220516-WA0803.jpg


IMG-20220516-WA0793.jpg
 
Hapo kiongozi hebu tueleze vizuri ili tusihisi visivyokuwepo.

Inaonekana Kuna aina mbili tofauti za huo mtambo.

Tuambie ni ipi inayouzwa, chain excavator au wheeled excavator?
Inaonekana aliyemtumia picha ndiyo amemchanganya!

Picha ya kwanza mpaka ya tatu ni roller! Ndiyo yenye steering wheel..

Probably inayouzwa ni hiyo chain excavator yenye joy sticks na siyo steering wheel..
 
Hapo kiongozi hebu tueleze vizuri ili tusihisi visivyokuwepo.

Inaonekana Kuna aina mbili tofauti za huo mtambo.

Tuambie ni ipi inayouzwa, chain excavator au wheeled excavator?
Niwie radhi mkuu nilikosea wakati wa kupandisha picha. Inayouzwa ni Excavator lakini katika picha niliweka na picha za roller ambayo kimsingi imeuzwa. Mnaiwie radhi niliowachanganya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom