Examination officer at OUT

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wakuu naulizia kama Open university wameita interview ya examination officers.
Maana niliomba hiyo na hadi sasa sijapgiwa simu.
 
mimi pia nliomba hyo nafas lakini bado kimya km vp tusubiri tu may b itakuwa bado
 
Bado bana, waliita TA tu kwny interview na hata hao bado hawajapewa matokeo ya interview.
 
Tupeane taarifa jamani wakiita hata na mi nimo
 
Wakuu naulizia kama Open university wameita interview ya examination officers.
Maana niliomba hiyo na hadi sasa sijapgiwa simu.

Wadau nimepiga leo interview ila ni noma...maswali 40 harafu yote yanahusu computer...mambo gani haya sasa...me agrrrrrr bhana.
 
Wadau nimepiga leo interview ila ni noma...maswali 40 harafu yote yanahusu computer...mambo gani haya sasa...me agrrrrrr bhana.

Gogadi hivi majibu wanatoa lini?
 
Last edited by a moderator:
Walisema watatujulisha...ngoja tusubili aiseee...ila mimi cmo...computer wapi na wapi mm...du!!!

Gogadi pole sana mkuu..kwahyo mlipewa computer mpige kazi au ni maswali tu written?
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa wale tuliofanya usahili wa kuandika OUT...nauliza hawajatoa majibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…