xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
we ndo umemzingua chalii etu nn 😂😂😂Ukiachwa achika
we ndo umemzingua chalii etu nn 😂😂😂Ukiachwa achika
No simjuiUna undugu na yule jamaa anajiita Beneficial??
Amini kwamba ariffHahahaha.
Kwa hiyo chalii ya R, mshua dingi unamchora kabisa kwa mkono wa kushoto.
Nimecheka sana.
Bac fresh aikatai aikatox acha nikulime nipite ivi nikapambane na wa'kaskazini wenzanguMimi sio mshubi au mhaya...
Huko utakuta bongee ya foleni....
Daah!!Kwani nimekosea nini hapo??Yaan manzi kumpenda dingilai mwenye Bangaloo sasa mimi kosa langu nini apo?Unastahili ulichokipata na usipojirekebisha utaendelea kuumizwa tu.