Ex wangu anatamani kuzaa na mimi

Kraftwerk

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
227
321
Habari ndugu zangu wana JF.

Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwenye harakati za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengine kikazi. Kiukweli nilikuwa nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaidi ya mbususu yake matam na si mchoyo.

Nikahitaji kuingia kwenye ndoa kwa shinikizo la wazazi na mwanamke mwengine nilijaribu kumueleza mwenzangu hakunielewa kabisa. Kwanini namuacha na kuwa na mwanamke mwingine nilijaribu kumueleza ni hisia tu zimenipelekea kumuoa huyu bidada mzuri na mpole.

Hakuweza kunielewa ila aliniomba jambo moja kabla ya mimi kumuoa huyu mwingine nimpe ujauzito na mimi kuendelea na maisha yangu hatokuja kunisumbua tena na mimi kuendelea na maisha yangu.

Je ni kweli hatokuja kunisumbua nikimpa mimba ex wangu wakuu?
 
Ila nyie wanaume 🚮🚮
Sasa ukawa unadinyaje na mtu humpendi? Ndio maana mnaenda kamoja chali.

Sasa kama hupajui vizuri Ustawi wa Jamii peana mimba na huyo ex, ndipo utajua kuwa hujui kuna wakati dunia inakuwa mstatili.
 
Habari ndugu zangu wana JF.
Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwnye harakart za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengn kikazi. Kiukwel nilikuw nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaid ya mabususu yake matam na si mchoyo.

Nikahitaji kuingia kwnye ndoa kwa shinikizo la wazaz na mwanmk mwengn nilijarb kumuelez mwenzng hakunielew kbs. Kwann namuacha na kuwa na mwanmk mwngn nilijarb kumuelez ni hisia tu zimenipelekea kumuoa huyu bidada mzur na mpole.

Hakuwez kunielewa ila aliniomba jambo moja kbla ya mm kumuoa huyu mwngn nimpe ujauzito n mm kuendelea na maisha yangu hatokuja kunisumbua tena na mm kuendelea na maisha yng.

Je ni kwel hatokuja kunisumbua nikimpa mimba ex wng wakuu?
Usimpe mimba. Baki nayo mtasumbuana siku za mbele.
HALAFU: Unapoandika ujitahidi kukamilisha sentensi zako. Kwa mfano, unapoandika maish yng au nilijarb unashindwa kueleweka. Sasa ole wako useme mimi mzee nafuatilia mambo madogomadogo.
 
Usimpe mimba.Baki nayo mtasumbuana siku za mbele.
HALAFU: Unapoandika ujitahidi kukamilisha sentensi zako.Kwa mfano, unapoandika maish yng au nilijarb unashindwa kueleweka.Sasa ole wako useme mimi mzee nafuatilia mambo madogomadogo.
 
Habari ndugu zangu wana JF.
Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwnye harakart za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengn kikazi. Kiukwel nilikuw nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaid ya mabususu yake matam na si mchoyo.

Nikahitaji kuingia kwnye ndoa kwa shinikizo la wazaz na mwanmk mwengn nilijarb kumuelez mwenzng hakunielew kbs. Kwann namuacha na kuwa na mwanmk mwngn nilijarb kumuelez ni hisia tu zimenipelekea kumuoa huyu bidada mzur na mpole.

Hakuwez kunielewa ila aliniomba jambo moja kbla ya mm kumuoa huyu mwngn nimpe ujauzito n mm kuendelea na maisha yangu hatokuja kunisumbua tena na mm kuendelea na maisha yng.

Je ni kwel hatokuja kunisumbua nikimpa mimba ex wng wakuu?
Mtie mimba fasta...huyo kashakubali kuwa mke wa pili mzeya
 
Kuna matatizo mengine huwa mnajitafutia

Ulimpenda mwanzo huyo Kwanini hukumuoa? Sasa naona umenogewa unataka huruma yetu wakati maamuzi unayajua
Huna udogo tena oa tu wa pili kama unataka akuzalie kukiko kumpa mtoto ambae hutokujua kama anavyosema

Kuna kisa mwanaume alibaka mdada mmoja
Jamaa akafungwa ila mwanamke akampenda na jela alikuwa anamtembelea
Alipotoka wakaoana
Wanawake ni vigumu sana kuwaelewa
 
Habari ndugu zangu wana JF.
Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwnye harakart za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengn kikazi. Kiukwel nilikuw nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaid ya mabususu yake matam na si mchoyo.

Nikahitaji kuingia kwnye ndoa kwa shinikizo la wazaz na mwanmk mwengn nilijarb kumuelez mwenzng hakunielew kbs. Kwann namuacha na kuwa na mwanmk mwngn nilijarb kumuelez ni hisia tu zimenipelekea kumuoa huyu bidada mzur na mpole.

Hakuwez kunielewa ila aliniomba jambo moja kbla ya mm kumuoa huyu mwngn nimpe ujauzito n mm kuendelea na maisha yangu hatokuja kunisumbua tena na mm kuendelea na maisha yng.

Je ni kwel hatokuja kunisumbua nikimpa mimba ex wng wakuu?
Ngoja waje kukupa muongozo
 
Unaingia kwenye ndoa na hiyo mentality? Ww bado hauko tayari.
Unashindwa nn kufanya maamuzi kwa jambo dogo kama hilo?
Eti anataka kuzaa na mm? Na ww unamchekea tu?
 
Hivi bado kuna wanaume wanaendelea kuoa...??😟
Ebu fanya umtie mimba huyo festi ledi kwanza chap, utakuja kunishukuru badae...😜
 
Back
Top Bottom