Ex wangu ananiwekea vijembe status

Siamini kama umefuta πŸ˜‚
 
Wew ni KONYAGI yeye ni K~VANT...wote wawili ni vilevi kwa mwenzake!!futa namba,songa mbele AU save namba vumilia matukano
 
Tupia namba yake kwa wajumbe tumuulize kama uyasemayo ni ya kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usikute alikuwa na mwingine wakati akiwa na weweπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…