Ex- mchepuko siuelewi

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,649
Reaction score
21,520
Habarini wadau
Nina mchepuko wangu mmoja kama mwezi sasa ulikuja kwangu na hoja kuwa tuachane kwani unahisi hautendi haki kuwa na mimi kwa mke wangu na familia yangu. Huu mchepuko una jamaa yake. Sasa cha ajabu ni kwamba kila mara unapiga simu na pia unakuja sehemu yangu ya kazi kupiga story na mizinga midogo midogo na unasema umenizoea sana kama rafiki yake. Nashindwa kuuelewa kabisa maana hoja ya kumwagana ulileta wenyewe na mie nikakubaliana nae 100%
 
Kwahiyo wahenga nao wamegawanyika sehem nyingi
Hao walikuwapo enzi za picha. Kuna wengine utahadithiwa tu kwa sababu waliishi kabla ya teknolojia ya kupiga picha kuwepo.
 
Teh teh teh, naona mada imehamia kwa 'Malenga wapya'.
Tuendeleee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…