EX lover wa Obama atoboa siri zake...

Waafrika sijui mkoje,
Ni nani Mswahili ambaye angetoboa aingie mle white house,
badala ya kumpa support mwenzenu nyie ndo wakwanza kumdiss,
hivi mkoje jamani eeh.
 
Ndio maana atashinda
 
h he he he he he he siasa bana unaweza cheka kila siku mpinzani wako anatafuta jinsi ya kukuchafua kwa kila hali
 
Sio kwamba Obama alijiandaa yeye mwenyewe kuwa raisi wa Marekani,no,aliandaliwa kutoka kuzaliwa kwake!
 
Raisi wa Marekani hachaguliwi na wananchi Wamarekani,anateuliwa na serikali kivuli ya Marekani(The American Shadow Government).Sasa hivi the next president wa Marekani anafahamika.Kwavile walitumia resources nyingi kumuandaa,na kusema kweli hajawaudhi mabwana zake,yaani hajawaudhi viongozi wa serikali kivuli ya Marekani,hakuna shaka yeyote kwamba ataendelea.Napenda ufahamu kwamba inayo onekana ndiyo serikali ya Marekani sio serikali ya Marekani,wenyewe wako nyuma,wanaongoza by remote control,makamu wa raisi akiwa ndiye representative wao.Kusema kweli uchaguzi wa Marekani is a sham.Laiti Wamarekani wangejua wasingeshiriki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…