Ex amerudi kwangu

kumbukeni jamani upendo hautakabali leo kwangu kesho kwako. ulimpenda shetani kamuingia msaidie ili usaidiwe na wendine, ila usimpe papuchi mtariji tu yangu ni hayo
 
Aisee sisi waoaji kazi tunayo. Sasa bibie unaziniwa kirahisi namna hiyo halafu nakuja kukuoa mimi na huyo hakuoi.
 
Ila mtoa mada kama unatu enjoy hivi. Maana ulichokiandika si cha kawaida na binti mwenye kujielewa hafanyi haya.
 
Kweli hawala hana taraka mimwenyewe jana nimetunikiwa na mtu tulie pigana chini miezi 2 na badae aaanza kuposti picha za mpenzi wake ila mie sikusinyaa moto aliusikirizia naona sms asubuhi naomba unioweee raha ya mapenzi ya kuludiana moto uwake kwenye mapaja
 
Mrejesho nilioupata kutoka chanzo cha kuaminika ni kua jamaa amejaribu kujiua
ndugu wamejaribu kumuokoa na sasa yupo hospitali
 
Jaribu kuchukuwa microphone yake uhutubie,,
kama ikiendelea kulala,,
Mpe khanga avae...hakuna dume hapo..
 
hahah hamna kitu tena yaani nasikia amejifungia ndani amekunywa sijui dawa gani ajidhuru afe Bahati nzuri wamemuokoa yupo hospitali.
Ulishajaribu kuchukuwa microphone?
Ukatuma salamu?
 
Nilikataa sana baadae nikakubali kishungo upande, nilikataa sana baadae nikakubali....haya maneno 'nilikataa sana' hayakuwa na ulazima wa kuwepo kwenye hii habari
Jibu ni moja tu nilikubali,
Ila wadada akili sijui wanaziweka wapi mtu hamjakutana zaidi ya miaka 2, halafu mtu ana kuomba mka du, na yeye anaenda tu kama ng'ombe wa machinjioni
 
Jibu ni moja tu nilikubali,
Ila wadada akili sijui wanaziweka wapi mtu hamjakutana zaidi ya miaka 2, halafu mtu ana kuomba mka du, na yeye anaenda tu kama ng'ombe wa machinjioni
Si ndio hapo, ila hapo sio wadada tu na mkaka yupo kwenye tukio
 
Hamna hata pa kushika
Duu,,basi hilo ni tatizo,,

Next time jaribu kumshika shika matako pengine charge zimehamia huko mkuu.

Wapo wanaume wengi sana wa hivyo..
Serious mkuu..

Yupo mrembo mmoja alinipa ushuhuda wa hilo.
 
Mwanamke nani aliwaloga jamani huu upumbavu wenu utawaisha lini hivi nyie viumbe mmeachana miaka miwili akakutafuta ukaitikia wito akabooking kabisa room ili mkaongee pamoja seriously na ww ukakubali kuingia chumbani kudiscuss ukaombwa mzigo ukakaza lkn mwishowe kishingo upande ukakubali

Ww ni miongoni mwa wanawake wajinga na wapumbavu kuwahi kutokea katika sayari hii ya dunia hujitambui wala kujielewa UMRI WAKO KWANZA .

Nyie ndo mnafanya dunia kuwa sio salama ya kuishi kuwa ujinga wenu
 
nimeamini kuendelea kuwasiliana na mpenzi wako wa zamani ni sawa na kutembea na mua jangwani, ukihisi kiu unautafuna

mi nakushauri hiyo huruma we endelea nayo
 
tulishindwa kufikia kwenye ndoa baada ya ndugu zake kuingilia mahusiano yetu na wakaamua kumshaur atafute mwanamke mwingine
Na huyo jamaa akaamua kuwasikiliza ndugu zake na kuamua kuachana na wewe? Ndugu wanaingilia maamuzi ya mapenzi ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…