EWURA imeshindwa kazi?

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini ameiagiza EWURA kuchukua hatua dhidi ya wauza mafuta wanaofanya mgomo baridi. Hivi kila mara hii EWURA mpaka ikumbushwe wajibu wake, kuna nini huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…