Naomba ikutokee halafu uone kama hayo unayoyasema yatatekelezeka!Chakula usio changia na ndugu ni sumu. Huyo ni mdogo wangu mwenyewe hakuna anae weza kututenganisha. Kwa vile katupenda wote tutalea watoto kwa amani na upendo. Sema tu awe anatupangia, mmoja akizaa mngine asiwe mjamzito ili aweza kumsaidia kulea mume kwa mahitaji mbali mbali, then mgongo ukikomaa mdogo wangu nae anashika ujauzito mi nasaidia kumlea mume. hahahahaha
vipo vya kula nae lakini sio hicho duh mungu annusuru lakini naweza zimia...Kizuri kula na ndugu yako bana . . . . . Lol!
We ukikua utayaonaKwa kuwa tu hayana UNDO button lkn ukisikia familia inayoishi kama wanyama ndio hiyo ya dume moja kupanda wanambuzi wote hata mama yao. Maisha maisha maisha, mbona mnawaza mambo mabaya bila kumuomba Mungu akuepusheni nayo
Hahahaha, sasa ulitaka watu wote tujibu kwa mtazamo mmoja?Wallah siamini masiko yangu Roulette !
Utaweza tu, ngoja yakukutekama ingekuwa rahisi hivi THE EARTH WILL BE THE BETTER PLACE TO STAY AISEE MIE SIWEZI HATA KIDOGO DADA YANGU
Hi Boss, mzima?mnhhh..........
Mi ndio nahishi hivo. Mimi na wadogo zangu wawili. Muulize AshaDii akwambie!Naomba ikutokee halafu uone kama hayo unayoyasema yatatekelezeka!
namwomba mungu sana ,yasitie mguu kwangu aisee ,maana the best option itakuwa sacrifise ya my marriage and my lovely husband .nina amini hivi .ITS NOT TOO LATE TO START AFRESH OTHER WISE AM OVER 60 YRS.kama ni less than 60 na sacrifice aisee katika vitu vimenishinda hata mungu anajua ni kushea mapenzi siwezi kabisa na ndio udhaifu wangu na mungu akakwepesha kwangu ,BTW HAPPY NEW YEAR DADAUtaweza tu, ngoja yakukute
Happy new year to you too my dear. Nimekuelewa sana tu, najua na Eiyer ameelewa nilchotaka kusema.namwomba mungu sana ,yasitie mguu kwangu aisee ,maana the best option itakuwa sacrifise ya my marriage and my lovely husband .nina amini hivi .ITS NOT TOO LATE TO START AFRESH OTHER WISE AM OVER 60 YRS.kama ni less than 60 na sacrifice aisee katika vitu vimenishinda hata mungu anajua ni kushea mapenzi siwezi kabisa na ndio udhaifu wangu na mungu akakwepesha kwangu ,BTW HAPPY NEW YEAR DADA
Chakula usio changia na ndugu ni sumu. Huyo ni mdogo wangu mwenyewe hakuna anae weza kututenganisha. Kwa vile katupenda wote tutalea watoto kwa amani na upendo. Sema tu awe anatupangia, mmoja akizaa mngine asiwe mjamzito ili aweza kumsaidia kulea mume kwa mahitaji mbali mbali, then mgongo ukikomaa mdogo wangu nae anashika ujauzito mi nasaidia kumlea mume. hahahahaha
"LOVELY HUSBAND" ??????!Yani mtu akutende hivyo na bado abaki kuwa LOVELY?namwomba mungu sana ,yasitie mguu kwangu aisee ,maana the best option itakuwa sacrifise ya my marriage and my lovely husband .nina amini hivi .ITS NOT TOO LATE TO START AFRESH OTHER WISE AM OVER 60 YRS.kama ni less than 60 na sacrifice aisee katika vitu vimenishinda hata mungu anajua ni kushea mapenzi siwezi kabisa na ndio udhaifu wangu na mungu akakwepesha kwangu ,BTW HAPPY NEW YEAR DADA
naona hii comment yangu imewastua wengi. Nilikuona jamvini zamani sana. Mzima?Naota ama?? Sielewi elewi vile
hujanielewa"lovely husband" ??????!yani mtu akutende hivyo na bado abaki kuwa lovely?
kwa hiyo mna-share au una maanisha niniWe ukikua utayaona
Hahahaha, sasa ulitaka watu wote tujibu kwa mtazamo mmoja?
Utaweza tu, ngoja yakukute
Hi Boss, mzima?
Mi ndio
nahishi hivo. Mimi na wadogo zangu wawili. Muulize AshaDii akwambie!
Kha, naona hii comment yangu imewastua wengi. Nilikuona jamvini zamani sana. Mzima?
Hebu niambie,ni kitu gani kitakufanya ubaki kwenye ndoa hii?
Ndio maana yake!kwa hiyo mna-share au una maanisha nini