Mimi masawli yangu ni madogo tu;
1.Hivi ni kweli ni kipi hasa kitakachomsukuma mwana Kinondoni kwenda kumchagua Maulid Mtulia kwa mara ya pili? Ametutendea kipi kizuri hasa kwa miaka yote 2 umchague tena?
2. Hivi ni kweli mnamuhitaji tena Mtulia?
3.Sababu yake ya kumuunga mkono Rais Magufuli ilitosha kweli kumfanya asababishe billion 1 zitumike kuwaweka bize kwenye uchaguzi tena?
3.Hivi mbunge wa aina hii utamwaminije?