Ewe MwanaKinondoni una sababu ipi ya kumchakua MAULID MTULIA kua mbunge tena?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Mimi masawli yangu ni madogo tu;

1.Hivi ni kweli ni kipi hasa kitakachomsukuma mwana Kinondoni kwenda kumchagua Maulid Mtulia kwa mara ya pili? Ametutendea kipi kizuri hasa kwa miaka yote 2 umchague tena?

2. Hivi ni kweli mnamuhitaji tena Mtulia?
3.Sababu yake ya kumuunga mkono Rais Magufuli ilitosha kweli kumfanya asababishe billion 1 zitumike kuwaweka bize kwenye uchaguzi tena?

3.Hivi mbunge wa aina hii utamwaminije?
 
Maswali kama haya yanastahili kuulizwa kwa Wana Siha pia kama Godwin Mollel nae anastahili kusimama jikwaani kiomba kura au anatakiwa awe mahabusu kukinu kesi ya ujujumu uchumi kwa kuliinhizia Taifa hasara.
 
4 Alichokisahau bungeni ni nini mpaka arudi tena dodoma kukisema?
 
Maswali kama haya yanastahili kuulizwa kwa Wana Siha pia kama Godwin Mollel nae anastahili kusimama jikwaani kiomba kura au anatakiwa awe mahabusu kukinu kesi ya ujujumu uchumi kwa kuliinhizia Taifa hasara.

Wote wawili ni vichaa kama mwenyekiti wao Mpya,kwa akili ya kawaida na MTU wa kawaida huwezi Fanya maamuzi ya kishenzi namna hi.kwa vyovyote vile gharama itayotumika uchaguzi hata avue sarawali akenue masaburi hawezi kuipata kupeleka jimboni mwake akiwa huko ccm miaka ilobaki,wameleta tu hasara no wa kuchinja kwa majambia hawa mahayawani
 
Hapana.....Yule mbwa tu na kaliingizia taifa hasara juu ya hasara ambazo ccm wanaliingzia taifa kwa kuingia mikataba kwa maslahi binafsi huku wabunge wa ccm wakiwa mhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali mpaka wanahongwa kupitisha Bajeti??!!!
 
Mimi masawli yangu ni madogo tu;

1.Hivi ni kweli ni kipi hasa kitakachomsukuma mwana Kinondoni kwenda kumchagua Maulid Mtulia kwa mara ya pili? Ametutendea kipi kizuri hasa kwa miaka yote 2 umchague tena?

2. Hivi ni kweli mnamuhitaji tena Mtulia?
3.Sababu yake ya kumuunga mkono Rais Magufuli ilitosha kweli kumfanya asababishe billion 1 zitumike kuwaweka bize kwenye uchaguzi tena?

3.Hivi mbunge wa aina hii utamwaminije?
Kinachosikitisha saana ni pale yanapotumika Mabilioni ya Pesa kurudia uchaguzi huu ndani ya mda mfupi kwa "maslahi ya Kisiasa" bila kujali gharama tunazoingia walipa kodi kwa "upuuzi" wa "Mwehu mmoja".Kesho utasikia mtu anajifanya ana uchungu na nchi huku akiruhusu haya mabilioni yapotee wakati leo huko Mtwara kuna wanafunzi wa shule ya msingi wanasoma chini ya mwembe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom