mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Ewe ndugu yangu ME/KE Kwanini unaamua kuchepuka?
Kitu gani unakosa kwa mpenzi wako??
Kwa upooooole kabisa hebu nipe angalau sababu mbili mpendwa katika bwana.
Asante
Mimi ndimi muonyaji wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani unakosa kwa mpenzi wako??
Kwa upooooole kabisa hebu nipe angalau sababu mbili mpendwa katika bwana.
Asante
Mimi ndimi muonyaji wako
Sent using Jamii Forums mobile app