Evolution Requires Revolutionary Thoughts.

Kiona

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
933
240
Nimekuja kugundua ni viongozi wa chadema tu ambao akili zao zinafanya kazi na hata ukiwasikiliza wanaongelea facts na siyo bla bla. Ni muda sasa Watanzania tuamke kutoka usingizini na natumai ule mtaji wa wajinga wa CCM wameanza kupevuka. Kanda ya ziwa ilikuwa ikiongoza kwa mtaji huo mkubwa wa wajinga but sasa Wasukuma hawakubali tena. Hi awareness ikifika na pale tabora tutakuwa tumemaliza kazi. hapo pwani hapatunyimi usingizi hao tukija kuwapikia wali tutawabadilisha. CHADEMA TUNASONGA MBELE NA SI KUJARIBU NI KUDHUBUTU. VIVA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Magamba msirushe mawe gizani.
 
Back
Top Bottom