PSG Pambanaji
JF-Expert Member
- Jan 4, 2020
- 222
- 146
Kama Ni kweli Basi pia unaweza
Utafikiriaje kisichokuwepo??!!Umesema kila unachofikiria kipo! Hivyo wazo la kutokuwepo kwa Mungu lipo maana lipo kwenye akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
This will ultimately lead to a contradiction.Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!
Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
This will ultimately lead to a contradiction.
I can imagine not existing, totally. That is in my imagination.
Everything in my imagination exists.
Does that mean I do not exists?
And if I do not exist, how did I imagine not existing?
I can imagine a spoon existing. I can imagine a spoon nit existing.
If everything in my imagination exists, does this spoon exist or not?
Sent from my typewriter using Tapatalk
I have no idea what you are talking about.It existed, that's how you can not imagine unexisted?!!
Ili kitu kiwepo kinahitaji sifa gani ?Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!
Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Mimi huwa nawaza kupaa kwa mabawa kukwepa hizi foleni.. But its impossible coz sina mabawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
hao maaskofu na mashekhe ndio hakuna kitu kabisa,ukiwauliza hayo watabaki kukujibu kinadharia tu,ukiwabana wanakupa vitisho tu kwamba utachomwa milele au utabanwa na kaburi hadi unyeUsitumie Nguvu nyingi kuwaza vitu bingine. Jiulize nafsi yako ilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa? Itakwenda wapi banda ya kufa?. Naamini unauona mwanga wa Jua kila mara ebu waza tu Umbali wa jua na ulipo ni Mile ngapi na kawahi kufika na alipima kwa kutumia nini Joto lake?. Waza kiuhalisia tu kwani upo duniani ?.Hivi wewe ni Nani?. Nakuonya tu ukiweza kujibu haya maswali Lazima utapelekwa Milembe Hospital kwa Matibabu. Nakushauri anza kuangalia singeli za akina Meja kunta na Nyimbo za akina Nasibu Abdul. Mengine waachie Maaskofu na Mashekh.
Sent using Jamii Forums mobile app